Kitaabalaa
Member
- Aug 13, 2019
- 69
- 148
na yanga hata akipata droo.
mi ntakata pumbu moya na mkasi mkali sana
mi ntakata pumbu moya na mkasi mkali sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na akijinyea Mimi nipo tayari kumtawazaAu ujinyeee kabisa pale Serena hotel au posta mpya.
Mimi nasubiri ukishamaliza kuogelea nikupake KYNa kuna Fowadi Mmoja huyo achilia mbali yule Kalengo huyu anaitwa Kapumbu ambaye hapa Dar es Salaam alifichwa ' Kimkakati ' ila huko Zambia ataanza hivyo sioni kama ' Wapuuzi ' fulani ' Watatoboa ' na wakipigwa ndogo basi 7. Katika rekodi za huyo Fowadi wao Kapumbu hajawahi kuacha ' Kuwapumbua ' Watu hapo Uwanjani Zambia na ' partnership ' yake na Kalengo mara nyingi husababisha Timu Mgeni Kufungwa Goli kuanzia 3,4,5,6 na hata 7 hivyo Watanzania tuanze mapema Kujiandaa Kisaikolojia kwani kuna ' Aibu ' Kubwa nchi yetu inaenda Kuipata ' Weekend ' hii.
Na hawa Mafowadi wawili dirisha dogo wanahamia Msimbazi ili Kuungana na akina Kagere, Boko na Wilker ili kujiandaa kwa pamoja kusudi Mwezi January 2020 baina ya Simba SC na Timu moja hivi ya Kipuuzi Kipuuzi basi bila hata ya Huruma hao Wapuuzi Wapuuzi FC ' wazikoge ' Goli kuanzia 9 hadi 11 ili tuheshimiane, wachapane Bakora na wamfukuze Kocha wao asiyejua Kuvaa na ' anayelelewa ' na Mzungu wa Kifaransa huko Jijini Paris nchini Ufaransa.
Kama kuna Timu ambayo nitaishabikia ' Weekend ' hii basi ni Zesco United pekee.
Dah! Kagera sukari, inaweza kuwa tiba ya ugonjwa wako...Cheki na Mexime...atakusaidia...ya Zambia Yaache tu, yupo Juma Balinya atamaliza.....Na kuna Fowadi Mmoja huyo achilia mbali yule Kalengo huyu anaitwa Kapumbu ambaye hapa Dar es Salaam alifichwa ' Kimkakati ' ila huko Zambia ataanza hivyo sioni kama ' Wapuuzi ' fulani ' Watatoboa ' na wakipigwa ndogo basi 7. Katika rekodi za huyo Fowadi wao Kapumbu hajawahi kuacha ' Kuwapumbua ' Watu hapo Uwanjani Zambia na ' partnership ' yake na Kalengo mara nyingi husababisha Timu Mgeni Kufungwa Goli kuanzia 3,4,5,6 na hata 7 hivyo Watanzania tuanze mapema Kujiandaa Kisaikolojia kwani kuna ' Aibu ' Kubwa nchi yetu inaenda Kuipata ' Weekend ' hii.
Na hawa Mafowadi wawili dirisha dogo wanahamia Msimbazi ili Kuungana na akina Kagere, Boko na Wilker ili kujiandaa kwa pamoja kusudi Mwezi January 2020 baina ya Simba SC na Timu moja hivi ya Kipuuzi Kipuuzi basi bila hata ya Huruma hao Wapuuzi Wapuuzi FC ' wazikoge ' Goli kuanzia 9 hadi 11 ili tuheshimiane, wachapane Bakora na wamfukuze Kocha wao asiyejua Kuvaa na ' anayelelewa ' na Mzungu wa Kifaransa huko Jijini Paris nchini Ufaransa.
Kama kuna Timu ambayo nitaishabikia ' Weekend ' hii basi ni Zesco United pekee.
Noa kabisa mkasi na usipofanya hivyo tukufanyejena yanga hata akipata droo.
mi ntakata pumbu moya na mkasi mkali sana
Tena ni mbumbumbu squared.M b u m b u m b u
Mbumbumbu badala ya kupambana na UD Kagera Songo mnahangaika na YangaNa kuna Fowadi Mmoja huyo achilia mbali yule Kalengo huyu anaitwa Kapumbu ambaye hapa Dar es Salaam alifichwa ' Kimkakati ' ila huko Zambia ataanza hivyo sioni kama ' Wapuuzi ' fulani ' Watatoboa ' na wakipigwa ndogo basi 7. Katika rekodi za huyo Fowadi wao Kapumbu hajawahi kuacha ' Kuwapumbua ' Watu hapo Uwanjani Zambia na ' partnership ' yake na Kalengo mara nyingi husababisha Timu Mgeni Kufungwa Goli kuanzia 3,4,5,6 na hata 7 hivyo Watanzania tuanze mapema Kujiandaa Kisaikolojia kwani kuna ' Aibu ' Kubwa nchi yetu inaenda Kuipata ' Weekend ' hii.
Na hawa Mafowadi wawili dirisha dogo wanahamia Msimbazi ili Kuungana na akina Kagere, Boko na Wilker ili kujiandaa kwa pamoja kusudi Mwezi January 2020 baina ya Simba SC na Timu moja hivi ya Kipuuzi Kipuuzi basi bila hata ya Huruma hao Wapuuzi Wapuuzi FC ' wazikoge ' Goli kuanzia 9 hadi 11 ili tuheshimiane, wachapane Bakora na wamfukuze Kocha wao asiyejua Kuvaa na ' anayelelewa ' na Mzungu wa Kifaransa huko Jijini Paris nchini Ufaransa.
Kama kuna Timu ambayo nitaishabikia ' Weekend ' hii basi ni Zesco United pekee.
Ubavu wa hizo ahadi zao huwa hawana wanaishiaga kukimbia tu Shem.Au ujinyeee kabisa pale Serena hotel au posta mpya.
Yaani kutolewa mapema wamepata kaugonjwa kabaya sana.Tena ni mbumbumbu squared.
Na haiwasaidii Mkuu kwani lazima wakalishwe huko. Wakiambulia sana basi suluhu.Hii yote kuondoa tension ya kutobolewa na Kagera kesho.
Anajisahaulisha kwa kuisema Yanga vibaya. 😀😀😀Huyu jamaa wiki hii anateseka sana.Kagera ana hamu na ww balaa.
Na hii tabia wameambukizana Mikia walio wengi.Huyu jamaa anateseka sana. Na bado utaendelea kuteseka hadi ujifie tu usipoacha roho yako us husuda.
Wasipopigwa je Mtani?Na wapigwee
Huwa ukiwaambia hii kitu wanasema eti bila wao wote tusingekuwa Form Three.Timu ya kipuuzi?wakati timu yako haina hata office..msouth office yake wapi????nendeni mkakarabati gofu lenu kwanza mengine yafuate ...Badala ya kumuuliza MO lini atatatoa 20B ...Mkia tulikuwa darasa moja form two B umefeli mtihani wa Taifa unarudia form two unamcheka anayeendelea form 3 utakuwa umerogwa
Ngoja nikuitie Kaka yako aje akupe hasara za kutoa hizi maneno.na yanga hata akipata droo.
mi ntakata pumbu moya na mkasi mkali sana
Kapumbu wala siyo mshambuliaji bali beki wa kushotoNa kuna Fowadi Mmoja huyo achilia mbali yule Kalengo huyu anaitwa Kapumbu ambaye hapa Dar es Salaam alifichwa ' Kimkakati ' ila huko Zambia ataanza hivyo sioni kama ' Wapuuzi ' fulani ' Watatoboa ' na wakipigwa ndogo basi 7. Katika rekodi za huyo Fowadi wao Kapumbu hajawahi kuacha ' Kuwapumbua ' Watu hapo Uwanjani Zambia na ' partnership ' yake na Kalengo mara nyingi husababisha Timu Mgeni Kufungwa Goli kuanzia 3,4,5,6 na hata 7 hivyo Watanzania tuanze mapema Kujiandaa Kisaikolojia kwani kuna ' Aibu ' Kubwa nchi yetu inaenda Kuipata ' Weekend ' hii.
Na hawa Mafowadi wawili dirisha dogo wanahamia Msimbazi ili Kuungana na akina Kagere, Boko na Wilker ili kujiandaa kwa pamoja kusudi Mwezi January 2020 baina ya Simba SC na Timu moja hivi ya Kipuuzi Kipuuzi basi bila hata ya Huruma hao Wapuuzi Wapuuzi FC ' wazikoge ' Goli kuanzia 9 hadi 11 ili tuheshimiane, wachapane Bakora na wamfukuze Kocha wao asiyejua Kuvaa na ' anayelelewa ' na Mzungu wa Kifaransa huko Jijini Paris nchini Ufaransa.
Kama kuna Timu ambayo nitaishabikia ' Weekend ' hii basi ni Zesco United pekee.
kweli shemela.Ubavu wa hizo ahadi zao huwa hawana wanaishiaga kukimbia tu Shem.
ha haaaaaaaaaaaaaa..Na akijinyea Mimi nipo tayari kumtawaza