kinywanyuku
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 3,746
- 2,924
Duu hii Id ni nomaana yanga hata akipata droo.
mi ntakata pumbu moya na mkasi mkali sana
Kapumbu wala siyo mshambuliaji bali beki wa kushoto
Kuna yule aliye bet mke wake kwamba achukuliwe na jamaa wa Simba ikiwa Chura watafungwa na Lunyasi, kwa mashangao mkubwa jamaa hakutimiza ahadi yake pamoja na kwamba Chura FC walipakatwa na Wekundu wa MsimbaziUbavu wa hizo ahadi zao huwa hawana wanaishiaga kukimbia tu Shem.
munikabidhi kwa wasiojulikanaNoa kabisa mkasi na usipofanya hivyo tukufanyeje
Genta pambana na mikia fc hawa vyura fc huwawezi
Korodani zako zote halali yetu hakuna namna, kiapo umejiwekea mwenyewe.munikabidhi kwa wasiojulikana
Hahaa Genta huyo huoni mwandiko huoKumbe ni mtu mmoja huyu?
Nakata rufaa mpaka wapigwe tu 😉Wasipopigwa je Mtani?
Kapumbu anapumbua kwenye Manula alivyomanuliwa na liboloNa kuna Fowadi Mmoja huyo achilia mbali yule Kalengo huyu anaitwa Kapumbu ambaye hapa Dar es Salaam alifichwa ' Kimkakati ' ila huko Zambia ataanza hivyo sioni kama ' Wapuuzi ' fulani ' Watatoboa ' na wakipigwa ndogo basi 7. Katika rekodi za huyo Fowadi wao Kapumbu hajawahi kuacha ' Kuwapumbua ' Watu hapo Uwanjani Zambia na ' partnership ' yake na Kalengo mara nyingi husababisha Timu Mgeni Kufungwa Goli kuanzia 3,4,5,6 na hata 7 hivyo Watanzania tuanze mapema Kujiandaa Kisaikolojia kwani kuna ' Aibu ' Kubwa nchi yetu inaenda Kuipata ' Weekend ' hii.
Na hawa Mafowadi wawili dirisha dogo wanahamia Msimbazi ili Kuungana na akina Kagere, Boko na Wilker ili kujiandaa kwa pamoja kusudi Mwezi January 2020 baina ya Simba SC na Timu moja hivi ya Kipuuzi Kipuuzi basi bila hata ya Huruma hao Wapuuzi Wapuuzi FC ' wazikoge ' Goli kuanzia 9 hadi 11 ili tuheshimiane, wachapane Bakora na wamfukuze Kocha wao asiyejua Kuvaa na ' anayelelewa ' na Mzungu wa Kifaransa huko Jijini Paris nchini Ufaransa.
Kama kuna Timu ambayo nitaishabikia ' Weekend ' hii basi ni Zesco United pekee.
Hahahaa. Lol.Nakata rufaa mpaka wapigwe tu 😉
Mtani vp![emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Korodani zako zote halali yetu hakuna namna, kiapo umejiwekea mwenyewe.
M b u m b u m b u
Huyu jamaa wiki hii anateseka sana.Kagera ana hamu na ww balaa.
Kagera wanahamu na wewe mnoooo
Kama kungekuwa na mashindano ya wajinga na wapumbavu i guess huyu jamaa angeibuka kinara misimu mitatu mfululizo. Hivi Yanga ikitolewa hata hiyo michuano ya klabu bingwa utaifuatilia tena msimu huu?
Huyo Kapumbu angekuwa na uwezo hui unaounadi si angekuwa Ulaya muda huu?
Zesco ni timu ya kawaida sana. Yanga inalambanaga vikali kwenye mechi yenye pressure kubwa kama ile waliyocheza na Al Ahly pale Alexandria na dakika 90 ilikuwa moja moja.
Wakupigwa tano ni mikia.
mikia FC aka GENTA.
Au ujinyeee kabisa pale Serena hotel au posta mpya.
Chagua tukuzike wapi?
Huyu jamaa anateseka sana. Na bado utaendelea kuteseka hadi ujifie tu usipoacha roho yako us husuda.
Sisi hatupigwi hovyo hovyo km nyie usitufananishe kabisa Zesco mi timu kubwa sikatai lolote laweza kutokea naiamini timu yangu ila km mwanasport siwezi sema 100% naenda kushinda huo utakuwa ushabiki maandazi ila jua tu sisi tofauti sana na nyie tukiwa ugenini 5 Misri 5 Congo haaaaaahaaaaa halafu usijisahaulishe harusi yenu kule Kaitaba!
Ama kweli Kagera walikua na hamu na sisipumba tupu, foolish.
Hata Mimi naona ... Kagera ana hamu kweliHuyu jamaa wiki hii anateseka sana.Kagera ana hamu na ww balaa.
Ndio harusi ishafungwa. 0-3 kweli hawa mbumbu fcSisi hatupigwi hovyo hovyo km nyie usitufananishe kabisa Zesco mi timu kubwa sikatai lolote laweza kutokea naiamini timu yangu ila km mwanasport siwezi sema 100% naenda kushinda huo utakuwa ushabiki maandazi ila jua tu sisi tofauti sana na nyie tukiwa ugenini 5 Misri 5 Congo haaaaaahaaaaa halafu usijisahaulishe harusi yenu kule Kaitaba!