Wakishinda huko Levi Mwanawasa Mjini Ndola ' Weekend ' hii nitaogelea kutoka Dar es Salaam hadi Zanzibar au Najinyonga kabisa!

Wakishinda huko Levi Mwanawasa Mjini Ndola ' Weekend ' hii nitaogelea kutoka Dar es Salaam hadi Zanzibar au Najinyonga kabisa!

Ubavu wa hizo ahadi zao huwa hawana wanaishiaga kukimbia tu Shem.
Kuna yule aliye bet mke wake kwamba achukuliwe na jamaa wa Simba ikiwa Chura watafungwa na Lunyasi, kwa mashangao mkubwa jamaa hakutimiza ahadi yake pamoja na kwamba Chura FC walipakatwa na Wekundu wa Msimbazi
 
Wajiandae
IMG-20190924-WA0089.jpeg
 
Na kuna Fowadi Mmoja huyo achilia mbali yule Kalengo huyu anaitwa Kapumbu ambaye hapa Dar es Salaam alifichwa ' Kimkakati ' ila huko Zambia ataanza hivyo sioni kama ' Wapuuzi ' fulani ' Watatoboa ' na wakipigwa ndogo basi 7. Katika rekodi za huyo Fowadi wao Kapumbu hajawahi kuacha ' Kuwapumbua ' Watu hapo Uwanjani Zambia na ' partnership ' yake na Kalengo mara nyingi husababisha Timu Mgeni Kufungwa Goli kuanzia 3,4,5,6 na hata 7 hivyo Watanzania tuanze mapema Kujiandaa Kisaikolojia kwani kuna ' Aibu ' Kubwa nchi yetu inaenda Kuipata ' Weekend ' hii.

Na hawa Mafowadi wawili dirisha dogo wanahamia Msimbazi ili Kuungana na akina Kagere, Boko na Wilker ili kujiandaa kwa pamoja kusudi Mwezi January 2020 baina ya Simba SC na Timu moja hivi ya Kipuuzi Kipuuzi basi bila hata ya Huruma hao Wapuuzi Wapuuzi FC ' wazikoge ' Goli kuanzia 9 hadi 11 ili tuheshimiane, wachapane Bakora na wamfukuze Kocha wao asiyejua Kuvaa na ' anayelelewa ' na Mzungu wa Kifaransa huko Jijini Paris nchini Ufaransa.

Kama kuna Timu ambayo nitaishabikia ' Weekend ' hii basi ni Zesco United pekee.
Kapumbu anapumbua kwenye Manula alivyomanuliwa na libolo
 
Weka tundu la kutolea ugali negative tukutie mimba halafu huyo mumeo unaemshobokea nae anajazwa
 
M b u m b u m b u
Huyu jamaa wiki hii anateseka sana.Kagera ana hamu na ww balaa.
Kagera wanahamu na wewe mnoooo
Kama kungekuwa na mashindano ya wajinga na wapumbavu i guess huyu jamaa angeibuka kinara misimu mitatu mfululizo. Hivi Yanga ikitolewa hata hiyo michuano ya klabu bingwa utaifuatilia tena msimu huu?
Huyo Kapumbu angekuwa na uwezo hui unaounadi si angekuwa Ulaya muda huu?

Zesco ni timu ya kawaida sana. Yanga inalambanaga vikali kwenye mechi yenye pressure kubwa kama ile waliyocheza na Al Ahly pale Alexandria na dakika 90 ilikuwa moja moja.

Wakupigwa tano ni mikia.
mikia FC aka GENTA.
Au ujinyeee kabisa pale Serena hotel au posta mpya.
Chagua tukuzike wapi?
Huyu jamaa anateseka sana. Na bado utaendelea kuteseka hadi ujifie tu usipoacha roho yako us husuda.
Sisi hatupigwi hovyo hovyo km nyie usitufananishe kabisa Zesco mi timu kubwa sikatai lolote laweza kutokea naiamini timu yangu ila km mwanasport siwezi sema 100% naenda kushinda huo utakuwa ushabiki maandazi ila jua tu sisi tofauti sana na nyie tukiwa ugenini 5 Misri 5 Congo haaaaaahaaaaa halafu usijisahaulishe harusi yenu kule Kaitaba!
pumba tupu, foolish.
Ama kweli Kagera walikua na hamu na sisi
 
Sisi hatupigwi hovyo hovyo km nyie usitufananishe kabisa Zesco mi timu kubwa sikatai lolote laweza kutokea naiamini timu yangu ila km mwanasport siwezi sema 100% naenda kushinda huo utakuwa ushabiki maandazi ila jua tu sisi tofauti sana na nyie tukiwa ugenini 5 Misri 5 Congo haaaaaahaaaaa halafu usijisahaulishe harusi yenu kule Kaitaba!
Ndio harusi ishafungwa. 0-3 kweli hawa mbumbu fc
 
Back
Top Bottom