Wakishinda huko Levi Mwanawasa Mjini Ndola ' Weekend ' hii nitaogelea kutoka Dar es Salaam hadi Zanzibar au Najinyonga kabisa!

Na kuna Fowadi Mmoja huyo achilia mbali yule Kalengo huyu anaitwa Kapumbu ambaye hapa Dar es Salaam alifichwa ' Kimkakati ' ila huko Zambia ataanza hivyo sioni kama ' Wapuuzi ' fulani ' Watatoboa ' na wakipigwa ndogo basi 7. Katika rekodi za huyo Fowadi wao Kapumbu hajawahi kuacha ' Kuwapumbua ' Watu hapo Uwanjani Zambia na ' partnership ' yake na Kalengo mara nyingi husababisha Timu Mgeni Kufungwa Goli kuanzia 3,4,5,6 na hata 7 hivyo Watanzania tuanze mapema Kujiandaa Kisaikolojia kwani kuna ' Aibu ' Kubwa nchi yetu inaenda Kuipata ' Weekend ' hii.

Na hawa Mafowadi wawili dirisha dogo wanahamia Msimbazi ili Kuungana na akina Kagere, Boko na Wilker ili kujiandaa kwa pamoja kusudi Mwezi January 2020 baina ya Simba SC na Timu moja hivi ya Kipuuzi Kipuuzi basi bila hata ya Huruma hao Wapuuzi Wapuuzi FC ' wazikoge ' Goli kuanzia 9 hadi 11 ili tuheshimiane, wachapane Bakora na wamfukuze Kocha wao asiyejua Kuvaa na ' anayelelewa ' na Mzungu wa Kifaransa huko Jijini Paris nchini Ufaransa.

Kama kuna Timu ambayo nitaishabikia ' Weekend ' hii basi ni Zesco United pekee.
Tunamtaka huyo. Hata Mesi alikuwa hazuiliki, huyo tunamkabidhi Mharami Issa, kwisha hbr yake
 
Mimi nilijua Utakunya kutoka Ubungo mpaka Kariakoo.
 
Hongera maana mi nilikuwa naangalia mpira hapa maeneo ya feri nilikuwa nasubiri matokeo ya kuogelea ila ndio basi tena
 
Back
Top Bottom