Wakiwa Canada Wenje alikuwa mzubaifu kuliko Lema

Wakiwa Canada Wenje alikuwa mzubaifu kuliko Lema

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Wenje na Lema wote walienda Canada kukimbia ugaidi wa wapinzani enzi za Magufuli

Lema alienda tena akiwa na madeni mengi Tanzania aliweza kufanya online trading za forex na coins akapata pesa na maisha yake yakaenda vizuri. Aliendelea na harakati.

Wenje hakufanya lolote yaani alikuwa kama mtu anataka kujitambua. Tusishangae sana sasa anahogwa na mtoto wa Mama Abdul na kawa Chawa wa Mbowe
 
aliweza kufanya online trading za forex na coins akapata pesa na maisha yake yakaenda vizuri.
Huu upupu ndio anawadanganyia wabongo
Yaani kwa muda mfupi akawashinda wa canada wenyewe na kuweza kupata hela ya kuendeshea maisha yake kwa kuwa afisa ubashiri.....
Kweli bongo lala.......
 
Back
Top Bottom