Guselya Ngwandu
Member
- Sep 17, 2021
- 39
- 84
CHADEMA wimegeuka kuwa Chama Cha Twitter, msemaji wao mkuu ni Mari Sarungi. Wako bize sana mtandaoni kupiga domo.
Hawana hoja za maana tena,mijadala yao mikubwa ni mara Tanganyika haipo, mara Ucifu ulifutwa na vitu vingine vya kudandia dandia.
Jambo moja ninalopenda sana kuhusu Serikali ya Sasa, wanapiga kelele lakini ni kama hawasikiki. Ni kama chura anayetumia nguvu nyingi sana kupiga kelele tembo asinywe maji lakini waaapi.
Mfano kwa sasa wakati wakati wako bize huku mtandaoni kupiga domo, Rais Samia anaendelea kufanya kazi kubwa sana (MAMA YUKO KAZINI).
Inapendeza kuona picha nyingi kutoka maeneo mbalimbali ya nchi zikionesha ujenzi wa madarasa na vituo vya afya. Wanafunzi wataenda shuleni mwezi wa kwanza na watakaa darasanai.
Mikataba ya madini yenye thamani ya zaid trilioni 1 imetiwa saini juzi na mambo mengine yanakwenda vizuri.
Mama Yuko Kazini