Wako na wameishia wapi akina Polepole, Nchimbi, Rachael Dangwa, Kabil Habil etc??!!

Wako na wameishia wapi akina Polepole, Nchimbi, Rachael Dangwa, Kabil Habil etc??!!

Father of All

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2026
Posts
458
Reaction score
843
1790274037687.png


1790273891892.png

Kweli dunia ni uwanja wa fujo,
Kila mmoja anapiga zake zikipasuka anatoweka.
Wapo waliovuma mitandanoni na kwenye siasa.
Wako wapi akina Humphrey Polepole Mdude,, Nchimbi na wengine waliovuma kwenye uringo wa siasa?
Wako wapi akina Rachael Dangwa na mitusi na vimbwanga vyake?
Wako wapi akina Gwajima na utapeli wao wa kujifanhya watachanganya mambo mielele?
Wako wapi?
1790273995362.png
1790274293883.png

Nataka nijue.
Kweli Bongo ni hatari.
 
Back
Top Bottom