Wako wapi: Balozi Dola Soul

Wako wapi: Balozi Dola Soul

mhalisi

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
1,181
Reaction score
322
Watanzania bila shaka mliokuwa mnasikiliza muziki wa kizazi kipya tangu miaka ya nyuma mtakuwa mnamkumbika mwana hip hop balozi dola soul ambaye ni swahiba mkubwa wa jembe letu la Mbeya mjini, Mheshimiwa Sugu, naulizia yuko wapi siku hizi Balozi Dola Soul?
 
Watanzania bila shaka mliokuwa mnasikiliza muziki wa kizazi kipya tangu miaka ya nyuma mtakuwa mnamkumbika mwana hip hop balozi dola soul ambaye ni swahiba mkubwa wa jembe letu la mbeya mjini, mheshimiwa sugu, naulizia yuko wapi siku hizi balozi dola soul?

Kipindi hiko yuko na Saigon kundi likiitwa diplomats ngoma kama take ride with me ilitingisha mbaya au bado nipo kwenye chati. Dola Soul kuna kipindi alikuwa USA.
 
Yupo USA anafanya nn? Bado anajihusisha na mziki au? Na yule msanii ambaye alikuja kuwa mtangazaji SOS B mzee wa kukuru kakara zako naye yu wapi
 
Back
Top Bottom