Wako wapi Bou Nako na Ibra Da Hustler?

Wako wapi Bou Nako na Ibra Da Hustler?

Sijui kwa nini. Ila inawezekana ni makubaliano yao tu na madini aliyokuwa nayo mchizi yalikuwa relevant zaidi kwa hiyo ngoma.
Nmekuuliza hivyo kwasababu majani alikuwa na tabia ya kuwaondoa watu kwenye ngoma labda kamkubali mmoja zaidi ya wengine
 
Yule mwingine wa mtu tatu ndani ya track moja yuko wapi?
Yupo Chuga hapo bado yupo active kwny game manake hata mwaka jana kwenye ile show ya yangaday alipewa shavu na Nature kiroboto mr ugali😀😀
 
Hivi kwanini kwenye hawatuwezi Lord Eyez aliimba verse mbili na wengine hawakushiriki?
Kilichotokea ni hv

Lord eyez na Ibra da hustler wao ndo walikua wakwanza kuja dsm na kupata nafas ya kurecord kwa P funk,
Kipindi hicho G nako yuko Porini alikua mtu wa Tour Guard na alikua ashaanza kukata tamaa ya music, Bou nako ye alikua hapo hapo chugastan ..akipambana na issue za Migodini mererani

So kwavile Huku Dsm Lord eyez na Ibra kwa wakati huo ndo walikuepo ikibid wao ndo wafanye ile ngoma ..

Ila kujua kwann alipiga verse mbili Nahc labda n Vibe aliyokua nayo hiyo siku

Hawatuwezi -Classic Hiphop song
 
Halafu mambo yakageuka G akawa G wa machorus 😀
 
Kuna kipindi ibra alikuwepo kigamboni(maweni) alikjwa ni teja tu, sijamuona muda mrefu.
 
Show love to each other ... Binge LA ngoma, N2N soja
 
Yule mwingine wa mtu tatu ndani ya track moja yuko wapi?

Bad Man ,In dar mi hot slam gyal two times mi get float dats y mi lov a city weda si don wi mi bway stackin togeda ina concert ,mi gi dem fleva ,dat y mi don lov bongo fleva! Waturutumbi Stoppa Man ni Baddest.
 
Yupo Chuga hapo bado yupo active kwny game manake hata mwaka jana kwenye ile show ya yangaday alipewa shavu na Nature kiroboto mr ugali[emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mpaka kesho. Mapinduzi ya Hip Hop imepitia vipindi vingi sana ukianzia kina Prof J, Afande, Inspekta Haroun Babu, Nature, Mandojo Domokaya, Soggy, Manzese Crew, Block 41, Fid Q, Balozi , KU Crew- Kwanza Unit, Mr II, The Diplomatz, Dogo Hashim, East Coast Team ( FA, AY, GK ), Ngwear , Nurah Baba Sta', Chamber Squad- Dark Master, Arusha wazee wa Babaaa Bamizaaaa....

BIG TIME SANA

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom