Nmekuuliza hivyo kwasababu majani alikuwa na tabia ya kuwaondoa watu kwenye ngoma labda kamkubali mmoja zaidi ya wengineSijui kwa nini. Ila inawezekana ni makubaliano yao tu na madini aliyokuwa nayo mchizi yalikuwa relevant zaidi kwa hiyo ngoma.
Inawezekana pia Ndugu Mdau.Nmekuuliza hivyo kwasababu majani alikuwa na tabja ya kuwaondoa watu kwenye ngoma labda kamkubali mmoja zaidi ya wengine
Yupo Chuga hapo bado yupo active kwny game manake hata mwaka jana kwenye ile show ya yangaday alipewa shavu na Nature kiroboto mr ugali😀😀Yule mwingine wa mtu tatu ndani ya track moja yuko wapi?
Yeah Mara nyingi sana nakutanaga naye Msasani ,Ibra da hustler yuko msasani ,anapambana na hali yake
Kilichotokea ni hvHivi kwanini kwenye hawatuwezi Lord Eyez aliimba verse mbili na wengine hawakushiriki?
Halafu mambo yakageuka G akawa G wa machorus 😀Kilichotokea ni hv
Lord eyez na Ibra da hustler wao ndo walikua wakwanza kuja dsm na kupata nafas ya kurecord kwa P funk,
Kipindi hicho G nako yuko Porini alikua mtu wa Tour Guard na alikua ashaanza kukata tamaa ya music, Bou nako ye alikua hapo hapo chugastan ..akipambana na issue za Migodini mererani
So kwavile Huku Dsm Lord eyez na Ibra kwa wakati huo ndo walikuepo ikibid wao ndo wafanye ile ngoma ..
Ila kujua kwann alipiga verse mbili Nahc labda n Vibe aliyokua nayo hiyo siku
Hawatuwezi -Classic Hiphop song
ndio anakokaa maeneo ya machoYeah Mara nyingi sana nakutanaga naye Msasani ,
Mitaa ya Picnic na Xo nn?Bou Nako anaendesha Bajaj zinapaki hapo juu ya Sheikh Amri Abeid Stadium Arusha, Ibra anaendelea kula unga Dar
Yule mwingine wa mtu tatu ndani ya track moja yuko wapi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yupo Chuga hapo bado yupo active kwny game manake hata mwaka jana kwenye ile show ya yangaday alipewa shavu na Nature kiroboto mr ugali[emoji3][emoji3]