WAKO WAPI HAWA? EZÈKIELI MALONGO,BEN KIKO Na MARTHA NGWILA?

WAKO WAPI HAWA? EZÈKIELI MALONGO,BEN KIKO Na MARTHA NGWILA?

bampami

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2011
Posts
5,699
Reaction score
4,117
WanaJF nakumbuka nikiwa shule ya msingi watangazaji hawa walikuwa mojawapo kati ya watangazaji maarufu kwenye radio Tanzania.
Ezekieli malongo alikuwa akisoma habari za michezo saa mbili kasoro usiku.
Ben kiko alikuwa repota wa radio t'ni kutoka tabora alipata umaarufu kwenye kipindi cha harakati na majira
martha ngwila alikuwa akiripoti toka mbeya.
NANI ANAJUA WALIPO HAWA WATU?
wanafanya nini kwa sasa?
 
Ezekiel Malongo sijui alipo, ila hao wengine nasikia ni RIP!
 
Ben Kiko, yupo Tabora, anatangaza radio ya mbunge wa Tabora mjini Aden Rage.. VOT Radio..
 
Ukimtaka Malongo, nenda Ubungo bus terminal ndani pale hotel ya Reack Hotel!
 
Martha Ngwira yuko TBC, chumba cha habari, DSM, Mikocheni anachapa kazi vizuri tu akiwa mwandishi wa habari na sio mtangazaji
 
Martha Ngwira yuko TBC, chumba cha habari, DSM, Mikocheni anachapa kazi vizuri tu akiwa mwandishi wa habari na sio mtangazaji.Piga simu 0222700062
 
tumbo risasi...mnamkumbuka ripota huyu wa RTD toka kigoma
 
Ezekiel Malongo yupo Ikulu na ni mwanachama wa Jamiiforums.
 
Ben Kiko, yupo Tabora, anatangaza radio ya mbunge wa Tabora mjini Aden Rage.. VOT Radio..

Huyu mzee "Mambo Hayo" alifariki hata kabla ya VOT kuanzishwa, inaonekana wewe ni mgeni ktk mambo haya.
Kama kuna Ben Kiko, basi huyo ni mwingine, lakini Ben ninayemfahamu , RIP.
 
Back
Top Bottom