bampami
JF-Expert Member
- Nov 5, 2011
- 5,699
- 4,117
WanaJF nakumbuka nikiwa shule ya msingi watangazaji hawa walikuwa mojawapo kati ya watangazaji maarufu kwenye radio Tanzania.
Ezekieli malongo alikuwa akisoma habari za michezo saa mbili kasoro usiku.
Ben kiko alikuwa repota wa radio t'ni kutoka tabora alipata umaarufu kwenye kipindi cha harakati na majira
martha ngwila alikuwa akiripoti toka mbeya.
NANI ANAJUA WALIPO HAWA WATU?
wanafanya nini kwa sasa?