Wako wapi hawa malegend?

Wako wapi hawa malegend?

Maisha kama Kitabu kila zama zinakuja na kurasa mpya za hao magwiji kurasa zao zilipita japo zimeacha kumbukumbu nzuri.
Kabisa mkuu,halafu nahisi walikuwa wana akili sana maana japo ni mchezo wa radio,unapowasikiliza ni kama unawaona kwenye uhalisia wao!mimi naona ni heri niwasikilize hawa kuliko kutazama bongo movie.
 
Daah mkuu Nyaka-One anadai ameshatangulia mbele ya haki!R.I.P.
Yes. Kama siyo 2014 basi ni 2015. Alipata kisukari.

Daah watu tunakumbuka mengi ya enzi zetu. Nimekumbuka 1992/1993 kulikuwa na tangazo moja hivi la wembe lilikuwa likisikika mara nyingi asubuhi. Katika hilo tangazo mama anakuja na kuita "Baba Kitange" mtoto anajibu "baba anaoga mama"..... mengine yamenitoka ila nililipenda sana hilo tangazo enzi za RTD.
 
Yes. Kama siyo 2014 basi ni 2015. Alipata kisukari.

Daah watu tunakumbuka mengi ya enzi zetu. Nimekumbuka 1992/1993 kulikuwa na tangazo moja hivi la wembe lilikuwa likisikika mara nyingi asubuhi. Katika hilo tangazo mama anakuja na kuita "Baba Kitange" mtoto anajibu "baba naoga mama"..... mengine yamenitoka ila nililipenda sana hilo tangazo enzi za RTD.
Kwenye matangazo nalikumbuka tangazo la "mabati ya galco"
 
Yes. Kama siyo 2014 basi ni 2015. Alipata kisukari.

Daah watu tunakumbuka mengi ya enzi zetu. Nimekumbuka 1992/1993 kulikuwa na tangazo moja hivi la wembe lilikuwa likisikika mara nyingi asubuhi. Katika hilo tangazo mama anakuja na kuita "Baba Kitange" mtoto anajibu "baba anaoga mama"..... mengine yamenitoka ila nililipenda sana hilo tangazo enzi za RTD.
Aisee..
 
Back
Top Bottom