Wako wapi hawa mastaa waliotikisa sana ulimwengu wa muziki

Wako wapi hawa mastaa waliotikisa sana ulimwengu wa muziki

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,711
Reaction score
35,644
Master P
Sisco
Dru Hill
ODB
Laurine Hill
Shania Twain
KCI & JOJO
Keith sweet
REY J
MONICA
COOLIO
CRAIG DAVID
ALL 4ONE

Baadhi walihamishia passion zao kwenye uigizaji kama:
Tyreese
Ice Cube
Quincy
Ludacris
XBIT
Willy Smith
Qeen Latifa
DMX

Wengine wamekuwa majaji kwenye "BSS" za huko majuu kama:
Usher Raymond
Dj Khaled
Adams
P. Didd
NK

the list is too long jazia na wengine

achana na waliofariki
 
Wenzetu wako tofauti sana, wakiona muda wao unawatupa mkono...husoma alama za nyakati na kwenda chini ya maji kuendelea na majukumu mengine.

Na maisha huendelea kama kawaida....wanastaafu kwa heshima.

Huku kwetu ni mpaka mtu avunjiwe nazi njiapanda au media zimbanie hahahahaaaa
 
Master P
Sisco
Dru Hill
ODB
Laurine Hill
Shania Twain
KCI & JOJO
Keith sweet
REY J
MONICA
COOLIO
CRAIG DAVID
ALL 4ONE

the list is too long jazia na wengine

achana na waliofariki
Hakuna chenye mwanzo kisicho kuwa na mwisho. Muda wao ulipita. Leo hii ni Rihanna, Drake, Cardi B, Meg Thee Stallion, nk. Beyonce na Jay Z wao wameweza sababu ya Rocafella empire.

Muziki unahitaji hela nyingi sana ya promotion. Jay Z na Beyonce wao wana hela na haiishi. Hao wengine walitegemea hela za record label ambazo zinatoka kwa mahesabu makali. Walipozikosa na umaridadi nao ukapotea.

Asante kwa uzi mzuri wa kutukumbushia.
 
Wenzetu wako tofauti sana, wakiona muda wao unawatupa mkono...husoma alama za nyakati na kwenda chini ya maji kuendelea na majukumu mengine.

Na maisha huendelea kama kawaida....wanastaafu kwa heshima.

Huku kwetu ni mpaka mtu avunjiwe nazi njiapanda au media zimbanie hahahahaaaa
Lakini wanakuwa wamekusanya pesa za kutosha uzeeni hawapati tabu. Huku kwetu wanakomaa hadi uzeeni kisa njaa
 
Back
Top Bottom