EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Hakuna chenye mwanzo kisicho kuwa na mwisho. Muda wao ulipita. Leo hii ni Rihanna, Drake, Cardi B, Meg Thee Stallion, nk. Beyonce na Jay Z wao wameweza sababu ya Rocafella empire.Master P
Sisco
Dru Hill
ODB
Laurine Hill
Shania Twain
KCI & JOJO
Keith sweet
REY J
MONICA
COOLIO
CRAIG DAVID
ALL 4ONE
the list is too long jazia na wengine
achana na waliofariki
Lakini wanakuwa wamekusanya pesa za kutosha uzeeni hawapati tabu. Huku kwetu wanakomaa hadi uzeeni kisa njaaWenzetu wako tofauti sana, wakiona muda wao unawatupa mkono...husoma alama za nyakati na kwenda chini ya maji kuendelea na majukumu mengine.
Na maisha huendelea kama kawaida....wanastaafu kwa heshima.
Huku kwetu ni mpaka mtu avunjiwe nazi njiapanda au media zimbanie hahahahaaaa
Sio wote mkuu. Wengi hua wanafulia mbaya kabisa hadi kutangazwa muflisLakini wanakuwa wamekusanya pesa za kutosha uzeeni hawapati tabu. Huku kwetu wanakomaa hadi uzeeni kisa njaa