Wako wapi hawa mastaa waliotikisa sana ulimwengu wa muziki

P Diddy ana hela sana. Lakini ameamua tu asifanye music binafsi. Hata Dr Dre, hajatoa album muda mrefu sana. Dr Dre, P Diddy, na Jay Z ni wasanii wa hip hop watatu matajiri kuliko wengine wote wa music wa hip hop duniani.
P. didy anaendesha "BSS" ya kwao inaitwa "the four" yupo na DJ Khaled ni bonge la TV SHOW itafute you tube
 
Shaban ranks, chaka demus, buju banton, yellow man, big mountain
Buju Banton bado anaimba

Sababu ya kuwa kimya ni kwamba alifungwa jela nadhani kuanzia 2009 _ 2019 akaachiwa kwa kesi ambayo haina ushahidi, maana wanasema alikamatwa akiwa na silaha.
Siku anatoka jela za USA si akaandaa tamasha na akafanikiwa kujaza uwanja mzima.
 
Bongo flavour ulikuja juu, radios na Tvs wakawa wanazipa airtime KWA Sana, ndo maana tulisahau hawa american singers, lakini BADO wapo, hawarecird lakini wanafanya show kubwa kubwa na wanapata watu kibao kwenye hizo show
 
Enz hizo chupi hazikuwepoa ama

Sent from my DRA-LX2 using JamiiForums mobile app
 
Ila hadi leo hii Westlife, Shania Twain, Dolly Parton, Celine Dion & Don Williums wanapiga show.

NSYNC ndio walipotea kabisa baada ya Justine Timbarlake kuondoka. Japo walijaribu kurudi upya ila waliishia kurudi mavumbini
 
Eminem 90's hajulikani kabisa,Eminem amehit baada ya kusainiwa na Dr Dre .......Eminem na 50 Cent ni new school.....

Old xul:-

Dr Dre
X-zibit
Snoopy
Gina Thompson.
Kuhusu Eminem ni kweli kabisa japo yeye alitangulia kabla ya 50 cent, sema alisainiwa akiwa ana nyimbo nyingi sana japo zilikuwa hazijulikani (maarufu) na umri wake ulikuwa umekwenda sana
 
Kuna akina

Air supply
Phil Collins
Elton John
NSYNC
n.k
 
Mimi nawajua na wadownload na kuwasikiliza na kuwapenda wanamuziki wa miaka 20 kabla cjazaliwa . ni jinsi tu unavyotaka uwe
Mkuu unawadownload kupitia app ipi? maana mi nimejaribu kupitia videoder imekataa, pia nikitumia vidmate video zinabakia kwenye blue stacks ambapo hazihamishikia kabisa toka huko kuja kwenye downloads au desktop.
 
Solid harmonie
Jessica Simpson
Magoo
Kandi
Da brat
Missy Eliot
Eve E
Lil Kim
Mya
Murphy Lee
3LW
Thalia
Nivea
Chingy
Jesca Simpson limeumbwa na limeumbika haswaaa si kwa sura wala umbile...daaah! kuna Me wanafaidi walibwende hapa duniani kiukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…