Wako wapi hawa mastaa waliotikisa sana ulimwengu wa muziki

Wako wapi hawa mastaa waliotikisa sana ulimwengu wa muziki

Master P
Sisco
Dru Hill
ODB
Laurine Hill
Shania Twain
KCI & JOJO
Keith sweet
REY J
MONICA
COOLIO
CRAIG DAVID
ALL 4ONE

Baadhi walihamishia passion zao kwenye uigizaji kama:
Tyreese
Ice Cube
Quincy
Ludacris
XBIT
Willy Smith
Qeen Latifa

Wengine wamekuwa majaji kwenye "BSS" za huko majuu kama:
Usher Raymond
Dj Khaled
Adams
P. Didd
NK

the list is too long jazia na wengine

achana na waliofariki
ODB ni marehemu
Coolio alipewa deal la kutoa elimu ya UKIMWI, ndio akatoa wimbo wa Too hot. Naona kapotelea huko mazima
 
Hakuna chenye mwanzo kisicho kuwa na mwisho. Muda wao ulipita. Leo hii ni Rihanna, Drake, Cardi B, Meg Thee Stallion, nk. Beyonce na Jay Z wao wameweza sababu ya Rocafella empire.

Muziki unahitaji hela nyingi sana ya promotion. Jay Z na Beyonce wao wana hela na haiishi. Hao wengine walitegemea hela za record label ambazo zinatoka kwa mahesabu makali. Walipozikosa na umaridadi nao ukapotea.

Asante kwa uzi mzuri wa kutukumbushia.
Hata P Diddy hana hela?
 
Hata P Diddy hana hela?
P Diddy ana hela sana. Lakini ameamua tu asifanye music binafsi. Hata Dr Dre, hajatoa album muda mrefu sana. Dr Dre, P Diddy, na Jay Z ni wasanii wa hip hop watatu matajiri kuliko wengine wote wa music wa hip hop duniani.
 
P DIDDY ANAPAMBANA ZAIDI KWENYE LEBO YAKE YA MUSIC YA BAD BOY ENTERTAINMENT NA KAMPUNI YAKE YA NGUO YA SEAN JOHN HIVYO HUYU BADO PESA IPO YA KUMTOSHA.
 
P Diddy ana hela sana. Lakini ameamua tu asifanye music binafsi. Hata Dr Dre, hajatoa album muda mrefu sana. Dr Dre, P Diddy, na Jay Z ni wasanii wa hip hop watatu matajiri kuliko wengine wote wa music wa hip hop duniani.
EMINEM - The richest hiphop artist currently,
 
Back
Top Bottom