shokoshugi
JF-Expert Member
- Oct 13, 2015
- 269
- 390
Mimi nawajua na wadownload na kuwasikiliza na kuwapenda wanamuziki wa miaka 20 kabla cjazaliwa . ni jinsi tu unavyotaka uwe
Utafiti wangu unaonyesha wachangiaji wote kwenye huu uzi wako above 40 yrs. Huwezi kua unawafahamu hao manguli wa RnB wa miaka ya 90 kama wewe ni wa enzi ya JK [emoji3]