Wako wapi hawa mastaa waliotikisa sana ulimwengu wa muziki

Hiyo ni videoder ndiyo ilikuwa inaniletea sehemu za kuchagua nizihifadhi wapi lakini vidmate ukibonyeza tu wimbo kudownload 1 kwa 1 wimbo unaingia kwenye bluestacks bila ya kukuletea set up za kuchagua uhifadhi wapi wimbo kabla ya kuudownload
Binafsi natumia vidmate. Ukiingia kwenye setting utakuta hiyo kitu mkuu
 
Yani nielekeze hizo settings nawezaje kuziboresha au kuziweka ziwe zinaniletea option ya kuhifadhi miziki nitakapohitaji kabla ya kupakua.
hazileti option ya wewe wapi uhifadhi mkuu, bali wewe ndio unachagua wapi uhifadhi downloads zako.

Anyway, ukiifungua vidmate utaona viji-mistari kadhaa kushoto juu, hapo ndio utakuta SETTING, Ukifungua hapo ndio utakuta option ya wapi downloads zako zihifadhiwe

All the best mkuu
 
Asante sana Chifu
 
Kuna taarifa mkali mwingine black rob naye katangulia mbele za haki, siku kumi baada ya mkali mwingine DMX kutangulia.
 
Kulikuwa na makundi kama
salt n pepa.
112
LUNIZ na ngoma yao ya i got 5 on it
Dah, enzi za LUNIZ ndio zilikuwa enzi za akina will smith enzi hizo wakiwa makinda sana. Bila kusahau watu kama Easy E, U2 na UB40 (wazee wa red red wine)
 
Haya sasa majungu, Hakuna wakati mziki una walipa vizuri wasanii Kama sasa ukilinganisha na kipindi cha nyuma. Pamoja na kiki zao na drama mbalimbali Lakini Kuna tajir atatengenezwa kupitia mziki Kama ilivyo kwa jay z na kanye west nk.
 
Dah, enzi za LUNIZ ndio zilikuwa enzi za akina will smith enzi hizo wakiwa makinda sana. Bila kusahau watu kama Easy E, U2 na UB40 (wazee wa red red wine)
Kuna kundi jingine lilikuwa likiitwa Next walitoa single yao kali ikienda kwa jina la too close. Dah hii ngoma ni kali mpaka video yake nayo ni kali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…