Jayfour_King
JF-Expert Member
- Nov 15, 2009
- 1,135
- 130
Hau didi yu know zis??ukimkuta Nyamayao kule ndo anaitwa Preta ...🙂
watu wapo tu sema wanaingia Kivingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hau didi yu know zis??ukimkuta Nyamayao kule ndo anaitwa Preta ...🙂
watu wapo tu sema wanaingia Kivingine
Kuna members nilikuwa nawaona sana hapa na mada nzuri kabla sijawa member. Wako wapi siku hizi. Kwa wenye taarifa please
Mfano
Exaud Makyao
Kibunango
Josm
Sipo
Nyamayao
MTM
Na wengine wengi. Nilipenda michango yao. Wako wapi?
Kuna members nilikuwa nawaona sana hapa na mada nzuri kabla sijawa member. Wako wapi siku hizi. Kwa wenye taarifa please
Mfano
Exaud Makyao
Kibunango
Josm
Sipo
Faith
Nyamayao
MTM
Na wengine wengi. Nilipenda michango yao. Wako wapi?
ukimkuta Nyamayao kule ndo anaitwa Preta ...🙂
watu wapo tu sema wanaingia Kivingine
ha ha ha huwa anaenda kupunga upendo kidogo
this man is good kwakweli. Yuko wapi? Please come outKuna na Gkundi pamoja na STEVE diiiiiii siku hizi SIJAWASIKIA mKO WAPI???????????????????
Kiteitei... Wapi weweee...
Sipo alisombwa na mafuriko ya Kilosa