Wengine ID mbili zinahusika... wanaingie kwa zile nyingine..wako wapi hawa?
buibui
tox star
sagna
c sir madini
cheleman
z anto
aby skills
dr. kumpeneka
J.I
kigwema
d knob
hussein machozi
sam wa ukweli
hafsa kazinja
hawa
joslin
spark
pingu
p n c
berry white
keisha
squizer
dataz
dr karim
top c
jackson&johnson
ali nipishe
fady dady
bizz man
black rhino
c pwaa
samir
ditto
baba levo
makamua
josefly
wako wapi hawa?
dudu baya katoa nyimbo inaitwa inama inukadudu baya
mr nice
msanii ukitoa nyimbo isipohit unahesabika kama umepotea tuMbona J.I katoa wimbo hivi majuzi tu.
wamerudi vijijini kwao wanalima nyanya na matikiti maji.. mjini pagumu, mziki mgumu mjini kuna wenyewe.wako wapi hawa?
buibui
tox star
sagna
c sir madini
cheleman
z anto
aby skills
dr. kumpeneka
J.I
kigwema
d knob
hussein machozi
sam wa ukweli
hafsa kazinja
hawa
joslin
spark
pingu
p n c
berry white
keisha
squizer
dataz
dr karim
top c
jackson&johnson
ali nipishe
fady dady
bizz man
black rhino
c pwaa
samir
ditto
baba levo
makamua
josefly
wako wapi hawa?
msanii ukitoa nyimbo isipohit unahesabika kama umepotea tu
ebwane iyo nyimbo katoa mda alianza audio ikagoma amekuja kutoa na video nayo watu hawaelew huku mitaani yetu utasikia nyimbo za wasafi na wasanii wengine wachache za hiphop sizisikiiMbona hiyo nyimbo ya J.I inatamba sana au ninyi mnaishi Vijijini?
nasikia wana mtoto hawa!Miss Tanzania Miriam Gerald na boy friend wake mwanamitindo Ken wako wapi hawa? Walikuwepo sana kwenye media enzi zao.