Wako wapi hawa? wanafanya nini?

Wako wapi hawa? wanafanya nini?

Socw

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2016
Posts
1,329
Reaction score
2,644
wako wapi hawa?

buibui
tox star
sagna
c sir madini
cheleman
z anto
aby skills
dr. kumpeneka
J.I
kigwema
d knob
hussein machozi
sam wa ukweli
hafsa kazinja
hawa
joslin
spark
pingu
p n c
berry white
keisha
squizer
dataz
dr karim
top c
jackson&johnson
ali nipishe
fady dady
bizz man
black rhino
c pwaa
samir
ditto
baba levo
makamua
josefly

wako wapi hawa?
 
Miss Tanzania Miriam Gerald na boy friend wake mwanamitindo Ken wako wapi hawa? Walikuwepo sana kwenye media enzi zao.
 
wako wapi hawa?

buibui
tox star
sagna
c sir madini
cheleman
z anto
aby skills
dr. kumpeneka
J.I
kigwema
d knob
hussein machozi
sam wa ukweli
hafsa kazinja
hawa
joslin
spark
pingu
p n c
berry white
keisha
squizer
dataz
dr karim
top c
jackson&johnson
ali nipishe
fady dady
bizz man
black rhino
c pwaa
samir
ditto
baba levo
makamua
josefly

wako wapi hawa?
Wengine ID mbili zinahusika... wanaingie kwa zile nyingine..
 
Diamond, Ali Kiba, Mandojo, Domokaya, JayDee, Feruz, Sikinde, Juma Nature
 
wako wapi hawa?

buibui
tox star
sagna
c sir madini
cheleman
z anto
aby skills
dr. kumpeneka
J.I
kigwema
d knob
hussein machozi
sam wa ukweli
hafsa kazinja
hawa
joslin
spark
pingu
p n c
berry white
keisha
squizer
dataz
dr karim
top c
jackson&johnson
ali nipishe
fady dady
bizz man
black rhino
c pwaa
samir
ditto
baba levo
makamua
josefly

wako wapi hawa?
wamerudi vijijini kwao wanalima nyanya na matikiti maji.. mjini pagumu, mziki mgumu mjini kuna wenyewe.
 
Mkuu kigwema alitapeli sana wadau humu na mzizi wake wa nguvu za kiume kutoka huko kusini mwa Ruvuma, alikuwa apiga tshs. 20,000 za nauli ya kuendea huo mzizi. Alipogundulika akaacha kabisa kutumia hiyo ID.
 
Mbona hiyo nyimbo ya J.I inatamba sana au ninyi mnaishi Vijijini?
ebwane iyo nyimbo katoa mda alianza audio ikagoma amekuja kutoa na video nayo watu hawaelew huku mitaani yetu utasikia nyimbo za wasafi na wasanii wengine wachache za hiphop sizisikii
 
Back
Top Bottom