King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Umofia kwenu wana JF,
Ebwana nawaulizia hawa wasanii waliowahi kutamba miaka hyo kwenye fani ya music
1.Ras Pompidou mara ya mwisho kumuona ilikuwa kwenye Tamasha lililoandaliwa na Eastafrika Radio 98 aliimba wimbo wa kuisifu EAradio moja ya mashairi eita sevena pointa eita efema is mai choisa(in buju banton voice)
2.Jah Kimbuteh mara ya mwisho kumuona ilikuwa YMCA 93 pale uwanja wa basket alikuwa anatumbuiza tamasha
3.Mac Mooger huyu jamaa sijui yupo wapi nlisikia story zake kwa jamaa wa m/nyamala na kupitia kitabu cha sugu
Wapo wapi hao kwa sasa?
Mmh apa nimewahi kumsikia Mac mooger tu wengine ndo kwanza nakusikia wewe,ngoja waje
Pompidou alikuwa inafrika band sina hakina kama yupo mpaka leo maana band yenyewe imeshuka kimtindo...
Umofia kwenu wana JF,
Ebwana nawaulizia hawa wasanii waliowahi kutamba miaka hyo kwenye fani ya music
1.Ras Pompidou mara ya mwisho kumuona ilikuwa kwenye Tamasha lililoandaliwa na Eastafrika Radio 98 aliimba wimbo wa kuisifu EAradio moja ya mashairi eita sevena pointa eita efema is mai choisa(in buju banton voice)
2.Jah Kimbuteh mara ya mwisho kumuona ilikuwa YMCA 93 pale uwanja wa basket alikuwa anatumbuiza tamasha
3.Mac Mooger huyu jamaa sijui yupo wapi nlisikia story zake kwa jamaa wa m/nyamala na kupitia kitabu cha sugu
Wapo wapi hao kwa sasa?
Ebu dadavua huyo mtu,maana niliona kwenye kitabu cha sugu amemzungumzia kwamba ni msanii ambaye alianza kutoa album kabla yake yeye na pia ali kiba alimuimba huyo msela na ni true story baada ya mshkaji wangu wa m/nyamala kuniambia jamaa mac mooger alikuwepo na alikuwa mtu wa kujirusha sana!!

Aisee ina maana Alikiba alimwimba mtu halisi,nilidhani jina tu la imagination.
Sasa Mr.Nice alikuwa anajishtukia nini!
Mmh me nimemsikia tu Huyo Mack Mooger tena bila Alikiba kumuimba nisinge mjua kabisa
Pompidou alikuwa inafrika band sina hakina kama yupo mpaka leo maana band yenyewe imeshuka kimtindo...
Hata Mimi nilimsikia kupitia nyimbo ya alikiba, nilijaribu kumtengeneza kwa kutumia fikra zangu alikuwa ni mtu wa aina gani na ni nani, kwa kifupi nilitaman kujua hostoria yake kwa ujumla ila nyimbo ilivyokufa na hamasa ikaisha
Na Australia pia.Inafrika Band naona picha zao kwenye mitandao ya jamii, kwa sasa hivi naona wamejikita sana katika kufanya tours za Ulaya na Asia.
Ras Pompidou mzee wa "Kivyakovyako" bado yupo nao.
Mac Mooger alitoa albam yake "The Mac Mooger" kabla ya Mr. II (enzi hizo 2 Proud) na kuiuza kwa muhindi mmoja anaitwa Mamu. Enzi hizo za kina "Weusi Wagumu Asilia". Kabla Steve 2K hajaingia studio Don Bosco kurekodi usiku mzima kutoka Tanga.
Mac Mooger alikuwa anasifika kwa.kuwa na pumzi sana halafu akiingia studio anavyorekodi yeye ni one take tu, hamna kurudia rudia.
hizi band zinapoenda tour huwa zinapelekwa na nani,maana band ina watu wengi,ukija upande wa kizazi kipya utakuwa msanii anasikika sana ila hizo chance za kwenda nje mara chache sanaInafrika Band naona picha zao kwenye mitandao ya jamii, kwa sasa hivi naona wamejikita sana katika kufanya tours za Ulaya na Asia.
Ras Pompidou mzee wa "Kivyakovyako" bado yupo nao.
hizi band zinapoenda tour huwa zinapelekwa na nani,maana band ina watu wengi,ukija upande wa kizazi kipya utakuwa msanii anasikika sana ila hizo chance za kwenda nje mara chache sana