King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
- Thread starter
- #21
Oh Jah Kimbute yupo wapi huyo mtu, alikuwa anakula Kida Waziri baada ya kifo cha mzee Maneti wa vijana jazz
Kida Waziri ana sauti nzuri sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oh Jah Kimbute yupo wapi huyo mtu, alikuwa anakula Kida Waziri baada ya kifo cha mzee Maneti wa vijana jazz
Big up Kiranga kwa info.
Nasikia hili kundi la Hard Blasters ilivunjika kutokana na baadhi ya members kuzidi kuvuta bangi kitu kilichosababisha Professor J kujitoa huko.Thanks.
I was there when it all went down.
Watu walivyotekodi kuanzia Soundcrafters Temeke, Don Bosco, kwa Master J Oysterbay mpaka kwa P Funk Masaki.
Tangu enzi hizo vijana waliokuwa wanapenda kuwa wasanii lazima kupitia sehemu kama Korea Cultural Centre kujifunza kupiga ala na kusoma musical notes.
Tangu enzi za Raiders Posse mpaka Kwanza Unit walivyomzika Adili Kumbuka makaburi ya Karume.pale Ilala nilikuwepo.
Tangu Professor Jay hajaruhusiwa kushika mic Hard Blasters, anaruhusiwa kubandika posters za concerts tu, enzi za "Tough Jam" kabla Tough hajajikata Marekani (mchizi yule angebaki bongo hatari yake ingekuwaje sijui, maana alikuwa ana flow utafikiri ni.member wa "Fu Shnickens" ).
Nasikia hili kundi la Hard Blasters ilivunjika kutokana na baadhi ya members kuzidi kuvuta bangi kitu kilichosababisha Professor J kujitoa huko.
Je ni kweli kwamba hao Kwanza Unit ndo kundi la kwanza la Hip hop kurekodi.
Nasikia hili kundi la Hard Blasters ilivunjika kutokana na baadhi ya members kuzidi kuvuta bangi kitu kilichosababisha Professor J kujitoa huko.
Je ni kweli kwamba hao Kwanza Unit ndo kundi la kwanza la Hip hop kurekodi.
Umenikumbusha beach parties za Clouds enzi hizo. More than 20 yrs ago. Damn.
Umenikumbusha beach parties za Clouds enzi hizo. More than 20 yrs ago. Damn.
Kumbe clouds walikata fursa tangu zamani
Umenikumbusha moja particularly Mikadi Beach. Bonnie Luv alirusha sana watu. Enzi hiyo ndiyo kwanza Buju katoa "Champion".
Duh, it's been a minute.
Zamani sana. Late 80s kama sijakosea.
Sasa mbona mikoani hawajulikani mpaka leo !
Kwani Clouds walianza lini?Inategemea unatoka mkoa gani na umezaliwa mwaka gani?hiyo kuuliza tu clouds wameanza fulsa zaman inaonyesha ni dogo so hao ni mali gendary inabidi uwe wa zamani kidogo
Kwani Clouds walianza lini?
Late 80s wakiitwa Mawingu Disco ma dj wakiwa Joe Kusaga,Bonny,Venture,Le General Dj Charles na wadogo wa Joe
Kwanza nikusahihishe aliyeimba "eite sevena pointa eite "ni Kiada Man sio Ras Pompidu
Pompi yupo In Africa Band na akina Enrico,Steve RnB na wengineo wanasafiri sana nje kupiga mahotelini
huyu mkuu kwa sasa yuko London ni member wa hapa JF anaitwa Chris Lukosi au ChilisosiUkimpata Baba T anaweza kuwa na habari za Jah Kimbuteh
Nimecheka sanahuyu mkuu kwa sasa yuko London ni member wa hapa JF anaitwa Chris Lukosi au Chilisosi