Wako wapi hawa watu?

Wako wapi hawa watu?

Nimemmiss supermarket na avatar yake ile ya john cena
Alikuwa too friendly
 
ID nyingi humu JF ni za wafu kuna nyingine zimerithiwa na nyingine zimekosa warithi.
Nakubaliana na wewe Mkuu, Kuna idadi kubwa sana ya watu humu JF hawapo hai ingawaje ID zao zipo mpaka leo.
 
Wengine wanafunzi wa boarding school wanaonekana kipindi cha likizo
 
Back
Top Bottom