Wako wapi hawa?

Wako wapi hawa?

The Initiator huru

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2017
Posts
1,993
Reaction score
2,635
Wako wapi hawa watu hawaonekani kwenye mitandao kama zamani
1. Dudu Baya
2. Mchungaji Mashimo
3. Deo Nalimi Kisandu
4. Harmo Rapa
 
Deo mtoe apo.
Yupo,tena anatisha sana na ngoma zake za Antibiotic,mastar wa muziki wa bongo fleva wanahaha kwa ujio wake[emoji23]
 
Labda hao wengine. Ila Deo kisandu alishabadili jina na anatambulika officially kwa sasa kama Don Nalimison! Huyu jamaa tumemfungia studio muda huu.

Anamalizia album yake ya Antibiotic, na ambayo amewashirikisha mastaa kadhaa wa ndani na nje ya nchi. Hiyo album itavunja rekodi huko youtube,na kwingineko.

Watoto wazuri kutoka ndani na nje ya nchi wameomba kuuza sura kama mavideo vixen! Bado maombi yao hayaja jibiwa. Don Nalimison mwenyewe a.k.a Masqo anamtaka Malia Obama pekee ndiye aonekane kwenye video zake!

Hataki kabisa kuwaona akina Hamisa Mobeto, Giggy Money, Kajala Masanja, nk.
 
Back
Top Bottom