The Intelligent
JF-Expert Member
- Dec 27, 2013
- 2,459
- 824
multiple ID ndugu unakuta mmekutana na mtu humu mka pm ana weeee mkakutana mkafanya yenu kwa mda flani akakumwaga unafikir utakuwa huru kuchangia?? unakuja kivingine
Njoo pm nikuambie.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
multiple ID ndugu unakuta mmekutana na mtu humu mka pm ana weeee mkakutana mkafanya yenu kwa mda flani akakumwaga unafikir utakuwa huru kuchangia?? unakuja kivingine
Njoo pm nikuambie.
ili baadae inilazimu kubadili id?? sitaki! hata nauli yakufika huko sina
Hahahahah.
Mbona Kujihami?
ili baadae inilazimu kubadili id?? sitaki! hata nauli yakufika huko sina
Basi mimi ntakufuata na usafiri wangu.
The Intelligent kama usafiri wako una matatizo Niko tayari kukuazima Wa kwangu, Ni furaha yangu kuona unafika huko Pm kwa mazungumzo zaidi.ungekuwa na usafiri mda wote huo mbona ungeshafika
The Intelligent kama usafiri wako una matatizo Niko tayari kukuazima Wa kwangu, Ni furaha yangu kuona unafika huko Pm kwa mazungumzo zaidi.
All the best
mtu mwenye usafiri hazubai hivyo angeshatia timu mda zamani sana. yuko kimya anatafuta deiwaka hajui haifaagi. tehtehteh
ungekuwa na usafiri mda wote huo mbona ungeshafika
The Intelligent kama usafiri wako una matatizo Niko tayari kukuazima Wa kwangu, Ni furaha yangu kuona unafika huko Pm kwa mazungumzo zaidi.
All the best