Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Lazima upende chama kuliko nchiHebu nitajie sifa za mwanaCCM.
Ha ha ha hizo sifa za CCM mpya ya Bashiru na Polepole.Lazima upende chama kuliko nchi
Uwe mnafki
Uwe mbinafsi
Uwe na moyo wa mnyama
Uwe tayari kupiga mawe wapinzani
List ni ndefuWamewachia kina bia yetu na magonjwa Mtambuka bila kumsahau Wakudadavua
Wasomi wapi hao? Au unazungumzia hizi digrii za chupi?Mbona wasomi bingwa wenye digrii tatu wamejaa huko ccm
Mkuu Tangu ubadili id na uanche kumsifu kuna kitu kimepungua kwake? Na je alikuambia kuwa anahitaji kusifiwa na wewe?
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Kuna maeneo nilikuwa na interact naye, trust me jamaa wa kawaida sana upstairs.
Hawa waliopoteza muda mwingi darasani ukimbana sehemu isiyohitaji maelezo ya vitabuni ndio utaona akili yake inapoishia.
Kwa Cv yake ni profesa wa miamba ila hajawahi chimba hata mita 1 chini. Kwa Cv ile kwenda kugombea ubunge ilikuwa ni ishara tosha kuwa jamaa ni 'bakuli'. Na kitendo kile atajutia maisha yake yote kwa kilimuexpose akapata alichokitaka.
Wote waliorisk position zao nje ili kupata teuzi za kisiasa imekula kwao, huyu na Mchechu wa NHC (by then) ni miongoni mwao.Nasikia jk ndiye aliye mshawishi akamtoa ulaya ili aje bongo alisaidie taifa kwa material uh yake lkn sasa hivi katupiwa virago