Ndio shida ya hawa wanaojiita wasomi. Wameshindwa kuelewa tuna matatizo ya kimfumo, huwezi fluorish kwenye huu mfumo mbovu.
Yoyote atayeitikia wito kuja nchini kuhudumu bila mabadiliko ya kimfumo lazima ile kwake tu, vinginevyo aingie kwenye praise and worship team aache kichwa nyumbani kiwiliwili kikafanye kazi.