gspain
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,920
- 6,081
Ndio shida ya hawa wanaojiita wasomi. Wameshindwa kuelewa tuna matatizo ya kimfumo, huwezi fluorish kwenye huu mfumo mbovu.
Yoyote atayeitikia wito kuja nchini kuhudumu bila mabadiliko ya kimfumo lazima ile kwake tu, vinginevyo aingie kwenye praise and worship team aache kichwa nyumbani kiwiliwili kikafanye kazi.
Yoyote atayeitikia wito kuja nchini kuhudumu bila mabadiliko ya kimfumo lazima ile kwake tu, vinginevyo aingie kwenye praise and worship team aache kichwa nyumbani kiwiliwili kikafanye kazi.
Pia kuna mama mmoja alikuwaga nssf naye as likuwaga nje akarudi hapa mwisho akatoswa