Wako wapi John Heche na Mnyika tangu kukamatwa kwao hakuna mrejesho wowote

Wako wapi John Heche na Mnyika tangu kukamatwa kwao hakuna mrejesho wowote

DITOPILE WAPILI

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2015
Posts
386
Reaction score
266
Toka Asubuhi tumesikia John Heche na Mnyika wamekamatwa na Polisi, lakini hakuna habari kuonesha wako wapi hadi muda huu.
 
Ata wakiwaua hakuna chochote wananchi watafanya, tuna serikali ya hovyo sana.
Hawezi kuwaua sababu wamewakata in publick, maswali yatakuwa mengi kuliko majibu. Too risk for them

Wamewaweka mahali eventualy watawarudisha tu
 
Samia amechagua kuondoka madarakani kwa fedheha kubwa sana.
 
Back
Top Bottom