Wako wapi mabinti waliotajwa na FA kwenye wimbo wa “Mabinti”?

Nakumbuka wimbo huu ulifanana Sana na wimbo wa Jay mo Kama unataka demu... Kiasi ikaleta bifu Kati ya wawili hao coz Kila mtu alisema mwenzie kaiba idea...Hadi Leo hatujui idea ilikuwa ya Nani
 
Asante
 
Tukimaliza kujua walipo hawa tutaangalia na wale wa JayMo wa KAMA UNATAKA DEMU nao wako wapi.
 
Nakumbuka wimbo huu ulifanana Sana na wimbo wa Jay mo Kama unataka demu... Kiasi ikaleta bifu Kati ya wawili hao coz Kila mtu alisema mwenzie kaiba idea...Hadi Leo hatujui idea ilikuwa ya Nani
ila zote ni kali sana, bongofleva waliitendea haki
 
habari za p funk na kajala mlikuwa mnazipata wapi maana kulikuwa hamna YouTube na Instagram
Kajala maarufu tangu kavunja ungo enzi hiyo anasoma Mbuyuni...'tako' tu lile ndio lilifanya awe maarufu O'bay, Msasani, Kino na kwingineko...enzi hiyo JK waziri na mkewe ticha Mbuyuni
 
FA arudie part two ya hii ngoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…