Francis Mawere
JF-Expert Member
- Nov 17, 2015
- 958
- 831
- Thread starter
-
- #21
ila jamii inawahitaji bado,waache wapo kwao saa hz wanakula maisha
da! serekali iko wapi tunapoteza vichwa kama hivi?Wapo wanabwia Unga.
kaka we acha tuu me nkiwaza mambo yalivyokua matamu naumia kinoma yani, liko wapi kundi la EAST COST TEAM?Hawa jamaa hata mimi huwa sichoki kuwasikiliza,nilipenda sana nyimbo zao kipindi kile,mwenye kuweza atuwekee nyimbo zao humu,
Pia wako wapi wale wakali wa kucheza "Disco" enzi zile? Akina Athumani Digadiga,Black Moses na wengineo?
Yuko wapi Saleh Jabir wa Bongo fleva enzi zilee Bongo fleva ndio inaaza?
Wapo kkoo
K/koo wanapiga bizness gani? can you share with us.?Sijasoma makala yako ila hawa jamaa wako kariakoo wanafanya biashara
Naskia wana maduka ya nguo na viatu ila sina uhakika kwa hiloK/koo wanapiga bizness gani? can you share with us.?
Nasikia wanauza viatuK/koo wanapiga bizness gani? can you share with us.?
me na uhakika dingi ikiwekwa kwenye chat tena sokoni itavunja record ya mauzo.Daaaah leo niliwakumbuka sana maana nimeisikia ngoma yao ya Dingi ikipigwa redioni,jamaa walikuwa wakali sana.
Bila shaka....me na uhakika dingi ikiwekwa kwenye chat tena sokoni itavunja record ya mauzo.
Ni kweli unachokisema lakini hawa jamaa walifanya kweli kiasi cha jamii kuwakubali, tatizo la mziki wa sasa ni copy and paste, hakuna ubunifu ndani yake. Mbona mrisho mpoto anatusua?muda mwingine mziki ni swaga za utotoni tuu mtu akikua anaacha....game lenyewe hili hutoki mpaka umezeshwe kete za ngada
ndivyo ilivyoBila shaka....
Tatizo sio kuwaona ila nahitaji kuwasikia tena kwenye game, google imebaki historiaumejaribu kuwatafuta google umewakosa?
Naskia wana maduka ya nguo na viatu ila sina uhakika kwa hilo
Kwa K/koo ukiwa na Duka la pamba na viatu inalipa.....Good to go.Nasikia wanauza viatu
walishazungumziwa sn humu,hasa kuhusu kupotea kwao!search tu thread utazikuta.
ha ha ha ha haaaaa jaribu na wewe ujioneeeKwa K/koo ukiwa na Duka la pamba na viatu inalipa.....Good to go.
Ukuwasikia ijumaa iliyopita kwenye PLANET BONGO ya East Africa Radio??
afu nlisahau kumuomba atuambie walisemaje.Tuambie mkuu....
Walisemaje!?
wewe unawatafutaaa au unataka usikie nyimbo zao mpya?maana umeuliza wako wapTatizo sio kuwaona ila nahitaji kuwasikia tena kwenye game, google imebaki historia