Francis Mawere
JF-Expert Member
- Nov 17, 2015
- 958
- 831
- Thread starter
-
- #61
Tatizo letu hatupend kusoma na ndivyo ilivyo........ UVIVU SHINA LA DHAMBI, INGEKUA NI STORY YA NGONO USINGE ACHA KUUSOMA HUU UZI....next time andika uzi mfupi...,gonga kwenye point straight....,acha mboyoyo mingi..,wengine tuna allergy!
Vijana vichwa vinapotea hivi hivi.Wanafiki nafiki watu wa kupakazia yasowahusu wao kuingilia, maneno yao ni kama ya Simba ukiyafikiria lazima utaangamia
Wanok nok watu wa.......
Nimewamiss sana, nimesikitika kuwa kumbe wanakula ile kitu
Fanya kama una sumurise interview yao ili tupate picha halisiWameongea mengi
We unataka kujua kusuhu lipi
Kikirudishwa tena kwa chat kinagonga plutnum aisee.Kile kibao cha Dingi sijui kwanini sichoki kukisikiliza ,
Love ya machalii wa r mara nyingi inakua ya ukweliHawa jamaa ni ndugu au ni urafiki tuu? Maana mpaka leo wapo pamoja tena wanashirikiana kwenye biashara pia!
Hapa kuna funzo la kujifunza kutoka kwa hawa jamaa aisee! Wako pamoja bega kwa bega kwa muda mrefu sasa!
we si unajua machalii za R hatutaniagi chalaaa!Love ya machalii wa r mara nyingi inakua ya ukweli
Ndio hivyo arifuwe si unajua machalii za R hatutaniagi chalaaa!
sisi sio watoto wa mamaNdio hivyo arifu
Ni sana chalii wangu hatunaga mboyoyo mingisisi sio watoto wa mama
acha kumkana mama yako Kijana!..kumbe Mtoto wa nani?sisi sio watoto wa mama
wapenzi muziki wao tuko wengi saanaa, tatizo bangi na unga vinalostisha vipaji , taswira, dingi ,etc, halafu kuna mmoja wao ni mkali sana kwenye gitaawarudi tuu maana wana fanbase kubwa kuliko maana vijana wa mika ya 90 na kuendelea ndo tunawafahamu na niradio vijana wenye nguvu kwa sasa.
....teh teh teh teh....bora nilivyoishia kusoma title tu!.,yani umeandika kama unatangaza!Tatizo letu hatupend kusoma na ndivyo ilivyo........ UVIVU SHINA LA DHAMBI, INGEKUA NI STORY YA NGONO USINGE ACHA KUUSOMA HUU UZI.
poa....teh teh teh teh....bora nilivyoishia kusoma title tu!.,yani umeandika kama unatangaza!
...narudia,jifunze kuwa concise!
..ahsanta!
Man dojo huyo mkali wa gitaawapenzi muziki wao tuko wengi saanaa, tatizo bangi na unga vinalostisha vipaji , taswira, dingi ,etc, halafu kuna mmoja wao ni mkali sana kwenye gitaa
Namaaanisha watoto walaini.......ha ha ha ha ahaaaaaaaaaaacha kumkana mama yako Kijana!..kumbe Mtoto wa nani?
Jigo