Wako wapi Man Dojo na Domokaya?

Wako wapi Man Dojo na Domokaya?

Wanafiki nafiki watu wa kupakazia yasowahusu wao kuingilia, maneno yao ni kama ya Simba ukiyafikiria lazima utaangamia
Wanok nok watu wa.......
Nimewamiss sana, nimesikitika kuwa kumbe wanakula ile kitu
Vijana vichwa vinapotea hivi hivi.
 
Hawa jamaa ni ndugu au ni urafiki tuu? Maana mpaka leo wapo pamoja tena wanashirikiana kwenye biashara pia!

Hapa kuna funzo la kujifunza kutoka kwa hawa jamaa aisee! Wako pamoja bega kwa bega kwa muda mrefu sasa!
Love ya machalii wa r mara nyingi inakua ya ukweli
 
warudi tuu maana wana fanbase kubwa kuliko maana vijana wa mika ya 90 na kuendelea ndo tunawafahamu na niradio vijana wenye nguvu kwa sasa.
wapenzi muziki wao tuko wengi saanaa, tatizo bangi na unga vinalostisha vipaji , taswira, dingi ,etc, halafu kuna mmoja wao ni mkali sana kwenye gitaa
 
Tatizo letu hatupend kusoma na ndivyo ilivyo........ UVIVU SHINA LA DHAMBI, INGEKUA NI STORY YA NGONO USINGE ACHA KUUSOMA HUU UZI.
....teh teh teh teh....bora nilivyoishia kusoma title tu!.,yani umeandika kama unatangaza!
...narudia,jifunze kuwa concise!
..ahsanta!
 
Back
Top Bottom