Ndama Mutoto ya ng'ombe
Chicago Matelefoni
Papaa Musofe
Chief Kiumbe
Na wengine wako Wapi?
Tumewamiss sana, hata muziki wa bendi umedorora kwa ukimya wenu
[emoji24] [emoji24] [emoji23] [emoji24] [emoji23]Kuna pedeshee mwingine a.k.a fisadi Lowasa, alikuwa anadekiwa barabara ndo apite, naye kayeyuka pia!
tulimuona juzi uwanjaniKuna pedeshee mwingine a.k.a fisadi Lowasa, alikuwa mpaka anadekiwa barabara ndo apite, naye kayeyuka pia!
Kuna pedeshee mwingine a.k.a fisadi Lowasa, alikuwa mpaka anadekiwa barabara ndo apite, naye kayeyuka pia!
Walikuwa wauza madawa ya kulevya tupu
Jero sasa inaitwa mia tano.laki imekuwa milioni siyo kama zamani lakisipesa
Alikuwepo juzi uwanjani mpk riz1 alienda msalimiaaKuna pedeshee mwingine a.k.a fisadi Lowasa, alikuwa mpaka anadekiwa barabara ndo apite, naye kayeyuka pia!
Hapo umekosea..alitajwa mziki upiKuna pedeshee mwingine a.k.a fisadi Lowasa, alikuwa mpaka anadekiwa barabara ndo apite, naye kayeyuka pia!
Kuna pedeshee mwingine a.k.a fisadi Lowasa, alikuwa mpaka anadekiwa barabara ndo apite, naye kayeyuka pia!