Wako wapi member hawa?

Wako wapi member hawa?

Yegoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2012
Posts
1,432
Reaction score
508
Habari wadau WA jukwaa hili la MMU,
tujikumbushe Kwa kuulizia member hawa baadhi waliochangamusha Jukwaa hili laa MMU NA Jf cheat chat kuanzia 2008-2015
1) lara 1
2) Watu8
3) AshaDii
4) Mtambuzi
5) FaizaFoxy

Members ni wengi sana Hadi nimewasahau na username zao hili jukwaa lilikua la moto sana, JF WAS THE BEST SANA, Kuna vivulana nahisi ndo vimewakimbiza hawa wazee😀😀😀
 
Watu8 ID ipo active mkuu...

Kijiwe sasa kimebadilika tumekuwa wasomaji tu na wachangiaji wa hapa na pale...

Namba 4 ni mkuu Mtambuzi kaadimika sana...

Maisha yanaenda kasi, majukumu mengi yanameza muda wa watu...

Uzuri pia nje ya JF tupo ambao tunaendeleza ujamaa na kuwasiliana kama kawaida...
 
Back
Top Bottom