Wako wapi member hawa?

Wako wapi member hawa?

Watu8 ID ipo active mkuu...

Kijiwe sasa kimebadilika tumekuwa wasomaji tu na wachangiaji wa hapa na pale...

Namba 4 ni mkuu Mtambuzi kaadimika sana...

Maisha yanaenda kasi, majukumu mengi yanameza muda wa watu...

Uzuri pia nje ya JF tupo ambao tunaendeleza ujamaa na kuwasiliana kama kawaida...
Hahahaha nimekumbuka Mtambuzi mtu wa maana sana jamaa…aiseee
 
Habari wadau WA jukwaa hili la MMU,
tujikumbushe Kwa kuulizia member hawa baadhi waliochangamusha Jukwaa hili laa MMU NA Jf cheat chat kuanzia 2008-2015
1) Lara
2) watu8
3)Asha dee
4)Mvumbuzi ( kama sjakosea username alikua na story fulani hivi tamu sana za zamani kidogo
5) foxy
Members ni wengi sana Hadi nimewasahau na username zao hili jukwaa lilikua la moto sana, JF WAS THE BEST SANA, Kuna vivulana nahisi ndo vimewakimbiza hawa wazee😀😀😀
Kongosho
Erickb52
Preta
 
Habari wadau WA jukwaa hili la MMU,
tujikumbushe Kwa kuulizia member hawa baadhi waliochangamusha Jukwaa hili laa MMU NA Jf cheat chat kuanzia 2008-2015
1) Lara
2) watu8
3)Asha dee
4)Mvumbuzi ( kama sjakosea username alikua na story fulani hivi tamu sana za zamani kidogo
5) foxy
Members ni wengi sana Hadi nimewasahau na username zao hili jukwaa lilikua la moto sana, JF WAS THE BEST SANA, Kuna vivulana nahisi ndo vimewakimbiza hawa wazee[emoji3][emoji3][emoji3]
Dead and gone..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom