tenanzinyo
Member
- Dec 28, 2012
- 64
- 23
wadau wa Jf naomba kujua walipo washiriki wa zaman wa Big Brother Africa kutoka Tanzania Mwisho Mwampamba aka "MAKMUGA"na Richard?Mwenye taarifa zao cyo vby akatujuza na sisi kwasababu ni muda mrefu hawasikiki kwenye media zetu?