Wako wapi Mwisho Mwampamba na Richard wa Big Brother?

tenanzinyo

Member
Joined
Dec 28, 2012
Posts
64
Reaction score
23
wadau wa Jf naomba kujua walipo washiriki wa zaman wa Big Brother Africa kutoka Tanzania Mwisho Mwampamba aka "MAKMUGA"na Richard?Mwenye taarifa zao cyo vby akatujuza na sisi kwasababu ni muda mrefu hawasikiki kwenye media zetu?
 
Mwisho alidakwa fasta nadhani fom airport🙂na bibie kiuno bila mfupa..wakafunga ndoa ili wazile kihalali..akamkula fi-milioni fyake fyote..vilivoisha Ray c akarud kwa lord macho!!
Akafulia ad akawa anagongea feg..heard yupo Morogoro!!

Rich yupo Moshi,na mkewe..ila anachapa nao vibinti ad bas..

Ukitaka kumpata mtafute weekend Moshi glacia,yeye pamoja na white hunters wengine...
🙂
 
Richard yupo Moshi, he is a full time father of his two sons Joshua and Jude huku mkewe akifanya kazi ili waishi.
Watoto wakikua mtaona kazi za filamu kuweni na subira.
 
maisha yetu yanatushinda tunatafuta ya mwiso na richard, mhh huu muda ungeutumia kufikiri ni kitu gani cha maendeleo unaweza kifanya ingekusaidia sana
 
Mwisho yuko kajificha morogoro baada ya kufulia kiasi cha kugongea hadi shiling mia mbili za kununulia fegi,richard nae kajificha moshi,kafulia mbaya,hana kazi yeyote zaidi ya uzururaji na kushinda saluni huku akisoma magazeti.kwa taarifa zaidi ni PM.
 
Na nyota ya Wema inaenda kuisha!
 
Kuna wakati nilisikia Mwisho anamuoa mshiriki mwenzake wa BBA wa miaka hiyo. Na hata picha zilipigwa. Mdada alikuwa Mnamibia kama sikosei.
 
Mwisho alidakwa fasta nadhani fom airport🙂na bibie kiuno bila mfupa..wakafunga ndoa ili wazile kihalali..akamkula fi-milioni fyake fyote..vilivoisha Ray c akarud kwa lord macho!!
Akafulia ad akawa anagongea feg..heard yupo Morogoro!!

Rich yupo Moshi,na mkewe..ila anachapa nao vibinti ad bas..

Ukitaka kumpata mtafute weekend Moshi glacia,yeye pamoja na white hunters wengine...
🙂

Laliga pia akienda atamkuta
 
Mwisho yuko kajificha morogoro baada ya kufulia kiasi cha kugongea hadi shiling mia mbili za kununulia fegi,richard nae kajificha moshi,kafulia mbaya,hana kazi yeyote zaidi ya uzururaji na kushinda saluni huku akisoma magazeti.kwa taarifa zaidi ni PM.

ha ha ha ha
 
Back
Top Bottom