tenanzinyo
Member
- Dec 28, 2012
- 64
- 23
Mwisho alidakwa fasta nadhani fom airportπna bibie kiuno bila mfupa..wakafunga ndoa ili wazile kihalali..akamkula fi-milioni fyake fyote..vilivoisha Ray c akarud kwa lord macho!!
Akafulia ad akawa anagongea feg..heard yupo Morogoro!!
Rich yupo Moshi,na mkewe..ila anachapa nao vibinti ad bas..
Ukitaka kumpata mtafute weekend Moshi glacia,yeye pamoja na white hunters wengine...
π
Mwisho yuko kajificha morogoro baada ya kufulia kiasi cha kugongea hadi shiling mia mbili za kununulia fegi,richard nae kajificha moshi,kafulia mbaya,hana kazi yeyote zaidi ya uzururaji na kushinda saluni huku akisoma magazeti.kwa taarifa zaidi ni PM.