Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Enzi zile walikuwa wanigiza itv, wako wapi hawa jamaa? Kwa anayejua taarifa zao jamani
Dah jamaa walikuwa level nyingine wale,yaani hao wanaong'ara sasa ndio wako level ya hawa jamaa miaka ileee!Enzi zile walikuwa wanigiza itv, wako wapi hawa jamaa? Kwa anayejua taarifa zao jamani
Majuto na mwanachia, dtv ileeee enzi hizo
Hii pair niliipenda sana.
Then ikaja;
1) Richie na Bishanga
2) Max na Zembwela
3) Bambo na Kingwendu
4) Masele Chapombe na Mkwele
waoooKaka,Jide na Sumbi
![]()
Sumbi ana marasta eenh
Bila kuwaweka mpoki na joti unakosea heshimaHii pair niliipenda sana.
Then ikaja;
1) Richie na Bishanga
2) Max na Zembwela
3) Bambo na Kingwendu
4) Masele Chapombe na Mkwele
Sumbi na botha,
Ndiyo Richie na bishangA