Pianist
JF-Expert Member
- Nov 7, 2010
- 681
- 372
Mwanzoni kikundi kilikuwa kinaitwa Four For You. Kulikuwa na Sumbi, Bocha, Anna Constatine(Waridi) na Thecla Mgaya(Aisha).Sumbi na botha,
Ndiyo Richie na bishangA
Baadaye kiliitwa Nyota Ensemble. Kilikuwa na Anna Constatine(Waridi), Thecla Mgaya(Aisha), Single Mtambalike (Rich) na Raymond Allen(Bishanga). Baadaye wanakikundi waliongezeka.