Wako wapi Sumbi na Bocha?

oxlade

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2012
Posts
601
Reaction score
96
Enzi zile walikuwa wanigiza itv, wako wapi hawa jamaa? Kwa anayejua taarifa zao jamani
 
Enzi zile walikuwa wanigiza itv, wako wapi hawa jamaa? Kwa anayejua taarifa zao jamani

Hii pair niliipenda sana.
Then ikaja;
1) Richie na Bishanga
2) Max na Zembwela
3) Bambo na Kingwendu
4) Masele Chapombe na Mkwele
 
Enzi zile walikuwa wanigiza itv, wako wapi hawa jamaa? Kwa anayejua taarifa zao jamani
Dah jamaa walikuwa level nyingine wale,yaani hao wanaong'ara sasa ndio wako level ya hawa jamaa miaka ileee!
 
nimewakumbuka sana mwenye uwezo wa picha za jamaa atuwekee itv wamewasahau miaka 20 yao
 
du kitambo sana..nikiwa primary nilibahatika kupanda nao daladala...walikua wamelewa wakawa wanazinguana...aisee abiria mbavu zilikoma..
 
Sumbi yuko Norway siku hizi, na bado yuko kwenye sanaa, sijui habari za Bocha.
 
Kaka,Jide na Sumbi


Sumbi ana marasta eenh
 
Dah awa jamaa nimewamisi ile kinoma, sumbi na bocha tafadhali mwenye picha zao za zamani atuwekee

Nilikuwa nakizimia kipindi chao cha mambo ayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…