Wako wapi waandishi hawa Spencer Lameck na Emmanuel Buohela?

Wako wapi waandishi hawa Spencer Lameck na Emmanuel Buohela?

Joined
Aug 15, 2021
Posts
30
Reaction score
47
Kwa wale waliofuatilia uchaguzi wa Tanzania mwaka 2020 uliomwingiza JPM madarakani wataungana nami kuwa utolewaji wa taarifa za kampeni nchini kupitia ITV ulinogeshwa zaidi na waandishi tajwa hapo juu kwa umahiri wao ktk utoaji wa taarifa.

Ilikuwa ikifika saa mbili usiku kuna watu walikwenda vibanda umiza kuchek newz tena kwa malipo ikizingatiwa kuwa umeme ulikuwa shida ili kuona taarifa za kampeni.

Nataka kufahamu waandishi wale wapo wapi sasa ilhali walikuwa waandishi wazuri sana wa ITV? Binafsi waliukonga moyo langu.
 
Lameck alipaswa kukataa ile ishu ya ukawa.. angeweza kuwa hata sehemu nzuri serikalini
 
Back
Top Bottom