Hahaha alijitangaza ana "MKONO WA NYANI" mwanzoni mwa miaka ya 2000's (Kama ilikuwa 2001 au 2002).Yule mmoja Waridi tangu ajitangaze ana Ngwengwe ndiyo ikawa mwanzo wa kupotea
Sent using Jamii Forums mobile app
Alikua anajiita jina refu kweli Bishanga Bashaija Tnti na Ntale Centibod sijui ilikua ndo hivo au nilikua najitungia enzi hizo utoto dah kweli nishakua muhenga ngoja nihame kwa mshua sasa😂😂😂😂BISHANGA BASHAIJA.
Hahaha alijitangaza ana "MKONO WA NYANI" mwanzoni mwa miaka ya 2000's (Kama ilikuwa 2001 au 2002).
Bishanga atakuwa amejiwekeza katika kilimo,miaka kadhaa nyuma nilikutana nae kwenye gari tukitokea Tukuyu akashuka niliposhukia(Katumba) kisha akachukua Noah za kwenda Mwakaleli mi nikaendelea na mambo yangu,story alizokuwa akipiga na jamaa wake katika gari ziliashilia kuwa amejiingiza katika kilimo!,Nenda kwa akina Malafyale ukamwone Bishanga na miwani yake,hao wengine sijui wapo wapi na ningependa kujua walipo!Baadhi yetu wenye uhenga mdogo tulibahatika kufuatilia igizo la mambo hayo lililokuwa likirushwa na televisheni kongwe ya ITV.
Katika Igizo hilo mwanzoni japo nilikuwa mdogo nakumbuka walikuwepo waigizaji maarufu kipindi hicho cha miaka ya 1997-2000 (kama nipo sijakosea).
Waigizaji hao ni Bishanga Bashaija, Richie Richie, Aisha na Waridi.
Richie (Single Mtambalike) huwa tunamwona, je hao waigizaji wengine wako wapi hivi sasa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Bishanga atakuwa amejiwekeza katika kilimo,miaka kadhaa nyuma nilikutana nae kwenye gari tukitokea Tukuyu akashuka niliposhukia(Katumba) kisha akachukua Noah za kwenda Mwakaleli mi nikaendelea na mambo yangu,story alizokuwa akipiga na jamaa wake katika gari ziliashilia kuwa amejiingiza katika kilimo!,Nenda kwa akina Malafyale ukamwone Bishanga na miwani yake,hao wengine sijui wapo wapi na ningependa kujua walipo!
Ukiwakumbuka wale Halafu unarudi kwa kina Umber rutty unaona kabisa Tasnia ya Bongo movies 'ili hakiwa' Na kunajisiwa
Nadhani alitangaza vile ili kupunguza usumbufuKama anao ule miaka 2000 mpaka Leo anadunda basi hongera zake.
Maana ule ulikuwa ukiupata tu siku mbili teke tumeshakusahau tofauti na huu wasasa.
Mzee unajitahidi kula sahani moja na Vijana! Ila inapunguza magonjwa ya uzeeni na sonono zisizokuwa na maana. Bora hivyo kuliko kukaa kijiwe chetu Kisutu na ubishani wa Simba na Yanga huku tukinywa kahawa tungu na stori za nenda rudi.Ukiwakumbuka wale Halafu unarudi kwa kina Umber rutty unaona kabisa Tasnia ya Bongo movies 'ili hakiwa' Na kunajisiwa
Alikuwa "mboga" ya KAPTENI wetu aliyetangulia mbele ya haki, na alikuwa mtunzi na mwimbaji mzuri wa nyimbo za...Yule mmoja Waridi tangu ajitangaze ana Ngwengwe ndiyo ikawa mwanzo wa kupotea
Sent using Jamii Forums mobile app
BISHANGA BASHAIJA.