Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,420
- 18,298
Baadhi yetu wenye uhenga mdogo tulibahatika kufuatilia igizo la mambo hayo lililokuwa likirushwa na televisheni kongwe ya ITV.
Katika Igizo hilo mwanzoni japo nilikuwa mdogo nakumbuka walikuwepo waigizaji maarufu kipindi hicho cha miaka ya 1997-2000 (kama nipo sijakosea).
Waigizaji hao ni Bishanga Bashaija, Richie Richie, Aisha na Waridi.
Richie (Single Mtambalike) huwa tunamwona, je hao waigizaji wengine wako wapi hivi sasa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama Richie ndo huyu wa bongo movie basi jamaa kaenda sana umri na anapaswa kuheshiwa na bongo movie wote
Sent using Jamii Forums mobile app