Wako wapi waigizaji Bishanga, Aisha na Waridi?


Kama Richie ndo huyu wa bongo movie basi jamaa kaenda sana umri na anapaswa kuheshiwa na bongo movie wote


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alikua anajiita jina refu kweli Bishanga Bashaija Tnti na Ntale Centibod sijui ilikua ndo hivo au nilikua najitungia enzi hizo utoto dah kweli nishakua muhenga ngoja nihame kwa mshua sasa😂😂😂😂

Bishanga basheija bantamaroko tinti na ntale!!
 
Kama anao ule miaka 2000 mpaka Leo anadunda basi hongera zake.

Maana ule ulikuwa ukiupata tu siku mbili teke tumeshakusahau tofauti na huu wasasa.
Alifanya Deal na Shigongo na Mrisho wauze Magazeti maana aliwekwa "FENTI FORD".
 
 

Attachments

  • 1549434917913.png
    247.9 KB · Views: 60
picha mwezi wa tisa 2018 akiwa na mwakyembe tukuyu mbeya

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…