Wako wapi wale waliokuwa wanajipangia mshahara wakiona wanakaribia kumaliza chuo

Formal education kazi yake ni kutufunua akili tuyajue mazingira na tujue jinsi ya kuyaendesha hayo mazingira,ila haihusiani na formula za kutafuta pesa aisee.
Formula za kutafuta pesa zipo kitaani/informal education.
Pia tatizo elimu yetu imejengeka kutujaza fikra toka tuko shule kuwa soma upate ajira uishi maisha mazuri kwa mshahara mzuri.
Hata walimu mashuleni wasikilize utasikia wakibwatuka hivyo"someni muwe madaktari ama wahandisi mpate mishahara mikubwa muishi maisha mazuri".
Kumbe katika ajira kuna ushindani pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…