Jumong S
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 7,385
- 10,659
Kwa wale tuliofanikiwa kukutana na hivi vibinti shujaa atakubaliana na mimi kuwa was one of the best elite people.
Ukipitia guideline ya mazoezi yao unapata picha kuwa ni moja ya vikosi vilivyojengwa kizalendo, kimikakati na kiulinzi wa kisasa.
Nakumbuka yule mmoja alivyotengeneza human shield kuzuia Ghadafi asiuawe na risasi ikamuua yule bidada.
Pia nakumbuka how walivyokuwa heavily armed walipotua Nigeria na kuamua kutembea KM nyiiingi kwa miguu na raisi kwenda kumuona rais Obasanjo japo walizuiwa ili kulinda diplomasia. Pamoja na sifa ya kuwa mabikira, warembo na waliojengeka, walikuwa trusted kuwa tayari kumlinda raisi mpaka umauti.
Sasa kwa wajuzi wa mambo, hivi hawa wadada waliishia wapi? Je, walikufa wote in battle?}if no, wako wapi na is it possible kukutana na hata mmoja kwa sasa?